Kundi la vyakula | Vilivyomo | Mifano mitatu |
---|---|---|
Vyakula vikuu | Kabohidrati | |
Protini | ||
Vyakula vitoavyo nguvu | ||
Vitamini na Madini |
Kundi la vyakula | Vilivyomo | Mifano mitatu |
---|---|---|
Vyakula vikuu | Kabohidrati | Injera, mchele, mahidi, nk |
Vyakula vya kukuza (vijenzi) | Protini | Maharagwe, mayai, nyama, nk |
Vyakula vitoavyo nguvu | Sukari na mafuta | Matunda, asali, njugu, nk |
Vyakula vilinzi | Vitamini na Madini | Samaki, mboga za kijani kibichi, nyama, nk |