Dalili | Hakuna asifiksia | Asifiksia ndogo | Asifiksia kiasi | Asifiksia kali |
---|---|---|---|---|
Mpigo wa moyo | Zaidi ya mipigo 100 kwa dakika | Zaidi ya mipigo 100 kwa dakika | Zaidi ya mipigo 60 kwa dakika | Chini ya mipigo 60 kwa dakika |
Rangi ya ngozi | Waridi | Buluu kidogo | Buluu wastani | Buluu sana |
Mkondo wa kupumua | Kulia | Kulia | Kupumua lakini sio sana | Kutopumua wala kutweta |
Kusonga kwa miguu na mikono | Inasonga vizuri | Kusonga kidhaifu | Kutosonga | Kutosonga |
Kuchafuliwa na mekoniamu | La | La | Labda | Kawaida |
Uhaishaji | Hakuna haja | Mwitiko wa haraka | Mwitiko mzuri | Anachukua muda mrefu kuitika |
Ishara | Ugunduzi wa kawaida | Ugunduzi usio wa kawaida |
---|---|---|
Rangi | Yafaa kuwa waridi | |
Pumzi | Pumzi 40-60 kwa dakika | |
Kiwango cha mpigo wa moyo | Mipigo 120-160 kwa dakika | |
Siha ya misuli | Mikono na miguu ya mtoto aliyezaliwa baada ya kutimiza umri kamili wa ujauzito imeyojikunja kidogo | Kujikunja duni kwa miguu na mikono, dhaifu (Picha 7.2), inayoashiria asifiksia kali inayoathiri ubongo |
Matendohiari | Mtoto huhisi na kuitika kidole kinapowekwa kwenye kaakaa la kinywa chake | Mtoto hahisi wala kuitika unapoligusa kaakaa la kinywa chake. |
Mtoto mchanga anafanya nini | Tathmini | Kitendo |
---|---|---|
Analia na kusongesha miguu na mikono | Labda mtoto ni mwenye afya | Uhaishaji hauhitajiki |
Anapumua kidhaifu, hasongeshi mikono wala miguu, ana sinosisi kiasi | Labda ana asifiksia kiasi | |
Halii, hapumui, hatweti wala kusongesha mikono na miguu. Mikono na miguu ni dhaifu. Ana sinosisi au mwili wake una mekoniamu | Labda asifiksia kali | |
Halii, hapumui, hatweti wala kusongesha mikono na miguu. Mikono na miguu ni dhaifu. Ana sinosisi au mwili wake una mekoniamu | Kiwango cha mpigo moyo ni zaidi ya 60 kwa dakika | |
Halii, hapumui, hatweti wala kusongesha mikono na miguu. Mikono na miguu ni dhaifu. Ana sinosisi au mwili wake una mekoniamu | Kiwango cha mpigo moyo ni chini ya 60 kwa dakika | Tekeleza vitendo vyote vilivyo kwenye jedwali hili na pia uusinge moyo (Picha 7.4). |
Hatari ya kiafya kwa mtoto mchanga | Utunzaji muhimu wa mara moja kwa Mtoto mchanga |
---|---|
Maambukizi ya macho | |
Damu kutoka yenyewe | |
Hipothemia | |
Hipoglisimia |
Hatari ya kiafya kwa mtoto mchanga | Utunzaji muhimu wa mara moja kwa Mtoto mchanga |
---|---|
Maambukizi ya macho | Weka lihamu ya tetrasiklini |
Damu kutoka yenyewe | Dunga sindano ya miligramu 1 ya vitamini K kwenye msuli |
Hipothemia | Mgusano wa ngozi kwa ngozi na mama, blanketi, na kofia |
Hipoglisimia | Unyonyeshaji wa mapema au chakula mbadala cha kutosha |