8.5.2 Kubaini kama mtoto yuko salama katika UKM
Katika kila ziara ya baada ya kuzaa unafaa:
- Kukadiria kima cha kupumua cha mtoto, ukihakikisha kuwa hapumui kwa kasi sana.
- Kuhakikisha kuwa mtoto analishwa vyema.
- Kupima kiwangojoto cha mwili cha mtoto kwapani, ukihakikisha kuwa ni cha kawaida.
- Kama mtoto yuko salama, Kuidhibitishia familia, iwapo mtoto yuko salama, lakini uwaarifu watafute msaada wako punde wanapokumbwa na tatizo lolote.
Back to previous pagePrevious
8.5.1 Utaratibu wa UKM