Nyenzo-rejea 3: Jaribio kuhusu VVU na UKIMWI
Utumizi wa Mwanafunzi
Jaribio hili lipo mtandaoni kwenye http://www.avert.org/ generalquiz.htm na unaweza kulifanya mwenyewe hapo. Kama wanafunzi wako wanaweza kupata mawasiliano ya Tovuti, unaweza kuitumia nao. Kama haiwezekani, hapa kuna nakala ya matini. Weka tiki kwenye jibu udhanilo ni sahihi.
Ndiyo | Hapana | Mashoga tu | Wasagaji tu |
|
Milioni 38.6 | Milioni 25.8 | Milioni 3.5 |
|
Kutokana na jinsi wanavyotenda | Huonekana wamechoka na wagonjwa | Hakuna njia rahisi ya kuwatambua |
|
Ndiyo | Hapana | Kama kikombe hakikuoshwa |
|
1997 | 1987 | 1982 |
|
Kondomu | Vidonge vya Kuzuia Uzazi | Jeli ya Kuua Manii |
|
Hakuna dalili mahususi | Upele toka kichwani hadi unyayoni | Unaanza kuonekana mchovu |
|
Kirusi | Bakteria | Kuvu |
|
Mbu tu | Ndiyo | Hapana |
|
Maambukizi Kupitia Ngono | Mganga Kabili wa Ngono | Muuguzi Kamili wa Ngono |
|
Ndiyo | Hapana | Zipo kwa agizo la daktari |
|
1 Januari | 1 Desemba | 1 Juni |
|
Miaka 0–14 | Miaka 15–24 | Miaka 25–34 |
|
Ndiyo, VVU ni kirusi kisababishacho UKIMWI | Hapana, VVU na UKIMWI ni kitu kile kile | Ndiyo, UKIMWI ni kirusi kisababishacho VVU |
|
Karibu 25% | Karibu 50% | Karibu 75% |
|
Ndiyo, hatari inaweza kupunguzwa ikawa chini zaidi | Hapana, haiwezekani | Kiasi tu |
|
Majibu
Swali 1.
Jibu – Hapana
Swali 2.
Jibu – Milioni 38.6
Swali 3.
Jibu – Hakuna njia rahisi ya kutambua
Swali 4.
Jibu – Hapana
Swali 5.
Jibu – 1982
Swali 6.
Jibu – Kondomu
Swali 7.
Jibu– Hakuna dalili mahususi
Swali 8.
Jibu – Kirusi
Swali 9.
Jibu – Hapana
Swali 10.
Jibu – Maambukizi Kupitia Ngono
Swali 11.
Jibu – Hapana
Swali 12.
Jibu – 1 Desemba
Swali 13.
Jibu – Miaka 15–24
Swali 14.
Jibu – Ndiyo, VVU ni kirusi kisababishacho UKIMWI
Swali 15.
Jibu – Karibu 50%
Swali 16.
Jibu – Ndiyo, hatari inaweza kupunguzwa ikawa chini zaidi
Nyenzo-rejea ya 2: Hali ya darasa