You can start learning at any time. By signing up and enrolling you can track your progress and earn a Statement of Participation upon completion, all for free.
Nyenzo za TESSA zimeundwa na kuendelezwa na wataalamu
wanaofanya kazi nchi mbalimbali za Kiafrika.
Zimetolewa kwa kupitia leseni bunifu ya pamoja na zinaweza
kutumika na kurekebishwa kwa mahitaji yako ipasavyo, kuendana na hali halisi
kama inavyohitajika.
This material is part of a collection
This material is part of a collection of materials called TESSA Resources. There are 54 materials in this collection so you may find other materials here that maybe of interest to you.
As a result of using these
free materials in your school or teacher training institution, you will have
discovered ways to enhance your teaching and make it more learner-centred.
Kuna vitengo 15 vya Sayansi ya Sekondari vya TESSA ambavyo unaweza kuvipata katika ukurasa huu.
Vimeundwa na washiriki kutoka Ghana, Zambia, Kenya, Tanzania na Uganda.
Tumechagua mada ambazo ni ngumu kwa kufundisha kutokana na mtaala wa Sayansi ya Sekondari ya awali na pia zilizo za kawaida katika nchi zote.
Vitengo vimekusanywa katika makundi matano ya dhamira za ufundishaji, yakionyesha ufundi na tabia ya mwalimu mwenye ufanisi.
Hivi ni:
Kuchunguza kwa makini uelewaji wa wanafunzi
Kuifanya sayansi ya utendaji
Kuifanya sayansi ya ukweli na yenye maana
Kutatua masuala na ubunifu
Kufundisha mawazo yenye changamoto
Kila dhamira hujitokeza kwa mfano wake katika Biolojia, Kemia na Fizikia, na zote huwa jumla ya vitengo 15.
Kama mada unayoifundisha haikuwekwa humu, basi tunatumai kwamba wewe mwenyewe utaweza kuirekibisha mojawapo ya vitengo ili vilingane na hali halisi ya kile unachokihitaji.
Kama ungependelea kuchagua dhamira ya ufundishaji mmoja tu basi itakubidi kupakua sehemu zote za 1 ili kujifunza jinsi ya ‘kuchunguza ufahamu wa watoto’; sehemu ya 2 ili kujifunza jinsi ya ‘kuifanya sayansi ya utendaji’; sehemu ya 3 ili kujifunza jinsi ya ‘kuifanya sayansi ya ukweli na yenye maana’; sehemu ya 4 ni kujifunza jinsi ya ‘kutatua masuala na ubunifu’; na sehemu ya 5 ni kujifunza jinsi ya ‘kufundisha mawazo yenye changamoto’.
Kama rasilimali hizi ni inapatikana kwa Kiingereza utaelekezwa kwa pan-Afrika toleo English
Kitabu cha maelekezo kilichotengenezwa ili kuwasaidia wakufunzi kutumia vifaa katika masomo ya muda na katika programu. Ni kwa ajili ya wahadhiri, washauri, viongozi wa mabingwa wa maendeleo, watengenezaji sera na washiriki wengineo wanaofanya kazi katika mafunzo ya ualimu.
Kitabu hiki kimetengenezwa kwa ajili ya wakufunzi wanaowafundisha walimu wapya ambao bado hawajaanza utumishi, au kwa kupanga programu za walimu waliokuwa tayari katika utumishi. Inatoa ushauri wenye vitendo jinsi ya kuwajulisha walimu katika nyenzo za sayansi ya Sekondari ya TESSA kwa kuwaunganisha kikamilifu katika masomo hayo mafupi.
Mwongozo wa kitendea kazi una mlolongo wa nyenzo kwa ajili ya matumizi ya wasimamizi ili kuendeleza ujuzi wa ufundishaji na ujuzi wa usimamizi ili kusaidia walimu wanafunzi katika mazoezi ya kufundisha. Mwongozo wa kitendea kazi utawasaidia pia wasimamizi kuwapa nguvu za kuunganisha nyenzo za TESSA katika mazoezi ya kufundisha.
Mwongozo wa kitendea kazi una mlolongo wa nyenzo kwa ajili ya matumizi ya wakufunzi kuendeleza mikakati ya kuwawezesha wanafunzi wote kufikia upeo wao bila ya kujali uwezo wao, udhaifu na mahitaji yao. Mwongozo wa kitendea kazi unawalenga wakufunzi na walimu kwenye nyenzo za TESSA ambazo zimepangwa kwa utaratibu maalum ili kuendeleza uzoefu wa pamoja katika darasa na shule.
Hapa unaweza kupakua maktaba kamili ya nyenzo za rasilimali ya TESSA (OER), kwa muundo wa neno au pdf, katika faili ya zip, ili kuhifadhi kwenye kifaa chako, kadi ya SD, gari la USB au CD.
Tunakualika kujadili mada hii, lakini kumbuka kuwa hili ni jukwaa la umma.
Tafadhali onyesha heshima na uepuke hisia zako kali kugeuka kuwa dharau kwa wengine. Huenda tukafuta machapisho ambayo yanakosa adabu au ni ya uchokozi; au kuhariri machapisho yaliyo na maelezo au ya mawasiliano au viungo vya tovuti nyingine.
This material is made available under CC BY-NC-SA 4.0: TESSA
Any third-party materials featured in this material are used with permission and are not ours to give away. These materials are not subject to the Creative Commons licence. See the
terms and conditions and our FAQs. Please see the material acknowledgements for further information about copyright details.
Kwa taarifa zaidi, angalia maswali yetu yanayoulizwa sana ambayo yanaweza kukupa usaidizi unaohitaji.
You can start learning at any time. By signing up and enrolling you can track your progress and earn a Statement of Participation upon completion, all for free.
Download this material for use offline or for other devices.
Nyenzo zilizo hapa chini zinatolewa kwa matumizi ya nje ya mtandao kwa manufaa yako na hazifuatiliwi. Ikiwa ungependa kuhifadhi maendeleo, tafadhali pitia toleo la mtandaoni.
This material is made available under CC BY-NC-SA 4.0: TESSA
Any third-party materials featured in this material are used with permission and are not ours to give away. These materials are not subject to the Creative Commons licence. See the
terms and conditions and our FAQs. Please see the material acknowledgements for further information about copyright details.
Kwa taarifa zaidi, angalia maswali yetu yanayoulizwa sana ambayo yanaweza kukupa usaidizi unaohitaji.