Working with Teachers: A Handbook for Teacher Educators

Kitabu cha maelekezo kilichotengenezwa ili kuwasaidia wakufunzi kutumia vifaa katika masomo ya muda na katika programu. Ni kwa ajili ya wahadhiri, washauri, viongozi wa mabingwa wa maendeleo, watengenezaji sera na washiriki wengineo wanaofanya kazi katika mafunzo ya ualimu.