Nyenzo-rejea ya 2: Sampuli ya maswali ambayo wanafunzi wangeweza kuuliza ili kwelewa zaidi kuhusu makundi husika ya kijumuiya
Nyenzo-rejea ya Mwalimu ya kutumia katika kupanga au kurekebisha pamoja na wanafunzi
Nini jina la kundi lako?
Nini lengo la asasi yako?
Unawasaidia wanajumuiya gani?
Unatoaje msaada huu?
Wanajumuiya yako ni nani?
Nani anaweza kuwa mwanakundi lako?
Mnakutana mara kwa mara? Kama ndiyo, lini na wapi?
Nyenzo-rejea 1: Jumuiya ni nini?