Nyenzo-rejea ya 3: Sheria/Kanuni za familia moja
Nyenzo-rejea ya Mwalimu ya kutumia katika kupanga au kurekebisha pamoja na wanafunzi
Kanuni za familia moja Watoto wanafanya kama walivyoambiwa. Wasichana wanawasaidia mama zao kazi za nyumbani. Wavulana wanawasaidia baba na wajomba zao shambani. Watoto wanatulia na wanakuwa na hekima mbele ya wakubwa. Watoto wanaondoka chumbani mgeni anapokuja. Watoto hawawezi kucheza nje ya nyumbani siku ya Jumapili. Watoto wakubwa wanawalea watoto wadogo. Daima hakuna kusema uongo. |
Nyenzo-rejea ya 2: Sampuli ya maswali ambayo wanafunzi wangeweza kuuliza ili kwelewa zaidi kuhusu makundi husika ya kijumuiya