Nyenzo-rejea ya 1: Haki na wajibu wa watoto- Orodha ya darasa ya mwalimu Nqwinda
Mifano ya kazi za wanafunzi
Wajibu wetu ni: | Haki zetu ni: |
Kusafisha nyumba | Malazi (nyumba ya kuishi) |
Kuchanja kuni na kuchota maji | Chakula |
Kuwalea wadogo zetu | Kulindwa (ili tusidhurike) |
Kupika | Kulindwa na watu wazima |
Kulima | Kutibiwa tukiwa wagonjwa |
Kuwasikiliza na kuwatii | Kwenda shule |
Somo la 3