Nyenzo rejea 3: Mistari – linganifu na mzingo

Nyenzo ya Mwalimu kwa ajili ya kupanga/kurekebisha na kutumia na wanafunzi

Alama za KidiniMistari ya UlinganifuMuundo wa mzunguko linganifu

Nyota ya Daudi (Kiyahudi)

126

Cross – Msalaba (Kikristo)

10

Mosque – Msikiti (Kiislam)

10

Dharma Wheel – (Kibudha)

168

Nyenzo-rejea ya 2: Mifano ya vinyago linganifu vya Kiafrika

Nyenzo rejea 4:  Mifano ya ulinganifu katika sanaa na vitambaa