Sehemu ya 5: Kufundisha Ugeuzi

Swali Lengwa muhimu: Unawezaje kukuza mwigo wa kujiamini katika tafakuri kuhusu jiometri?

Maneno muhimu: mlingano; uhamishaji; ugeuzi; madarasa changamani;

Matokeo ya ujifunzaji

Mwishoni mwa sehemu hii, utakuwa umeweza:

  • umewawezesha wanafunzi kutambua ugeuzi, mlingano, uhamishaji na uakisi;
  • umetumia maumbo yaliyokatwa kama mbinu za kukuza mageuzi ya kutafakari kuhusu maumbo ya kijiometri;
  • umezingatia changamoto za kutofautisha kazi hii miongoni mwa wanafunzi wakubwa na wadogo, na kujaribu mikabala mbalimbali..

Utangulizi

Nyenzo rejea 6: Kuweka rekodi ya ulinganifu