Nyenzo-rejea ya 2: Madokezo kwa ajili ya dimbwi la muda
Nyenzo ya Mwalimu kwa kupanga au kubadili nyenzo ili zitumike na wanafunzi.
Madokezo kwa ajili ya utengenezaji wa dimbwi la muda | |
Dimbwi la nje | |
*Mchoro: mwonekano wa pembeni | - Unda dimbwi dogo kwa kuchimba ardhini. Tofautisha vipimo vya urefu na vya umbo ili dimbwi liwe na sura asilia. Chagua mahali ambako kuna kivuli. -Tia alama mibonyeo kwa kutumia plastiki nene na linganisha kingo za dimbwi kwa mawe au matofali. -Tumbukiza safu ya changarawe au mchanga msafi wa mtoni, pamoja na mawe bapa machache. Ongezea tope halisi la dimbwini. -Tia nakshi kwa mimea na matete ya majini yanayofaa. |
*Mchoro: mwonekano wa juu | Tia maji kwa uangalifu katika dimbwi (usitumie maji ya bomba kwa sababu yana klorini; tumia maji toka kwenye dimbwi au tumia maji ya mvua). |
-Yaache yakae kwa siku moja au mbili ili yatuame kabla ya kuanzisha maisha ya wanyama dimbwini. Bila shaka utaona kuwa wadudu wanaoruka hulizingira na kulitawala bwawa. | |
Ndani ya Darasa *Mchoro | -Bila shaka unaweza kutumia tangi la kufugia samaki la kioo kama linapatikana. |
Lisimamishe tangi kwenye meza ndogo mbali na mwanga wa moja kwa moja wa jua – ili kutoruhusu ukuaji wa kupita kiasi wa algae wa |
Nyenzo-rejea ya 1: Uelekezaji wa mawazo