Nyenzo-rejea 5: Kuongoza uhifadhi
Nyenzo ya Mwalimu kwa kupanga au kubadili nyenzo ili zitumike na wanafunzi.
KUANGALIA USANIFU MICHORO
Tumia maswali haya kuwasaidia wanafunzi wako kuangalia michoro juu ya pakiti mbalimbali.

| Picha inatuambia nini? |
| Maandishi yote yanaonekana kwa usawa? |
| Nani hutengeneza hivi vitu? |
| Tunapata nini kwenye pakiti hii? |
| Ni wapi inaonesha kilichomo ndani? |
| unaona nini kwanza? Kwa nini? |
| baada ya hapo unaona nini? Kwa nini? |
| baadae unaona nini? Kwa nini? |
Nyenzo-rejea 4: Kupanga na kuchunguzi

