Nyenzo-rejea ya 1: Kijitabu cha mimea
Matumizi ya wanafunzi
| Utafiti wa mimea | ||
|---|---|---|
| Mimea ninayoiona eneo la shule | Mmea huu ni wakupandwa? | Tunaitumia mmea huu kama ndio tunaitumiaje? |
| mahindi | Ndio | Chakula |
| mti wa miiba | Hapana | Mpini wa jembe |
| Waridi | Ndio | Hapana |
| mchungwa | Ndio | Chakula |
| Mwembe | Ndio | Chakula |
| mguva | Ndio | Chakula |
| Mpingo | Hapana | Mafuta, |
| ||
| ||
| ||
Somo la 3

