Nyenzo-rejea ya 1: Jedwali la mahusiano/ukoo
Nyenzo za mwalimu kwa kuandaa au kubadili kwa matumizi ya wanafunzi
Jedwali la ukoo linaonyesha kila mtu anavyohusiana na wengine na wanafamilia au jamii. Tamaduni tofauti zina namna tofauti za kuelezea uhusiano wao.
Lifuatalo ni jedwali la mahusiano ya ukoo kwa Tanzania.
Somo la 3