Nyenzo-rejea ya 1: Kazi ya nyumbani ya kuorodhesha kazi za ughushi za mahali hapo
Nyenzo ya Mwalimu kwa kupanga au kubadili nyenzo ili zitumike na wanafunzi.
Jabali 6B, 02.10.2005, Majina ya Ughushi
Ngoma | √ |
Gitaa | Hili ni gitaa ulilotengeneza? |
Kijiko cha mti | √ |
Chupa | Fikiria tene. Hii chupa kweli ilitengenezwa katika jamii yako? |
Chungu cha udongo | √ Vizuri sana |
Mchoro wa tingatinga | Hii ni nini? |
Gari la kuchezea watoto | Moja ya hiki kifaa kinatengenezwa kijijini kwako? |
mkeka uliosukwa kwa mikono | √ |
Umfanya vizuri Jabali. Hapa umekusanya orodha nzuri ya ughushi. Hakikisha unaelewa ni zipi zinatengenezwa katika jamii yako. |
Somo la 3