Nyenzo-rejea ya 2: Mila za kienyeji: Mbinu za kuchezangoma katika Tanzania

Taarifa za msingi/welewa wa somo wa mwalimu utangulizi

Kimila/ kiasili, makabila katika Tanzania walitumia muziki na ngoma kuashiria tukio maalumu kama vile uvunaji, sherehe za jando na harusi. Ngoma, moja ya vifaa muhimu vya muziki, hutumika pia kama njia ya mawasiliano. Kila kabila ya makabila 120 ya Tanzanaia wana ngoma yao au mbinu yao ya uchezaji. Kwa mfano, wanapocheza Wamakonde hutikisa viuno vyao katika msisimko wa sindimba; wakati Wasukuma hutumia nyoka kama vile chatu katika ngoma yao ya Bugobogobo” Wazaramo wanarukaruka katika mdundiko, wakati wanapocheza ngoma ya asili kama vile ‘mitamba yalagala kumchuzi’ .

Wamasai wana ngoma ya kuruka inayoendana na mdundo wa kuguna wa sauti zao nzito.

Chanzo halisi: Tanzanian Culture, Website

Kama unaweza kupata mtandao unaweza kuwaonyesha wanafunzi wako mikanda ya video ya ngoma za asili, kwa mfano:

http://www.youtube.com/ watch?v=9ifeNAP-AXM [Tip: hold Ctrl and click a link to open it in a new tab. (Hide tip)] Ni mkanda wa video wa ngoma za asili mkoani mwanza

Nyenzo-rejea ya 1: Hadithi za ngoma ya Venda

Nyenzo rejea 3: Kuboresha ngoma zetu