Nyenzo-rejea ya 1: Miundo mbadala ya somo – iliyotumiwa na Bwana Gasana
Usuli/taarifa ya mwanzo/uelewa wa mwalimu
Mfuatano wa swali na jibu
S: Je, Bibi Yuhi, ulisikia mlio wa bunduki?
J: Ndiyo, wakati huo tulikuwa tunakula cha jioni.
au
S: Je, Bwana Mulifi, ulisikia mlio wa bundukit?
J: Hapana, wakati huo nilikuwa ninasafiri kwenda Nyanza.
Miundo ya ripoti ya askari wa upelelezi
Bibi Yuhi alisikia mlio wa bunduki wakati walipokuwa wakila chakula cha jioni.
au
Bwana Mulifi hakusikia mlio wa bunduki kwa sababu alikuwa safarini kwenda Nyanza.
Somo la 3