Nyenzo-rejea 5: Vitenzi na vielezi katika shairi – Ngoma Yangu na Francis Faller
Taarifa za msingi / welewa wa somo wa mwalimu
Katika tafsiri hii ya shairi vitenzi vimepigiwa mstari na vielezi vimewekewa wino uliokolezwa.
Inapiga kwa uvumilivu kama maji yadondokayo | Dokezo 1: patiently ni kielezi cha namna, ambacho kinaeleza jinsi ngoma inavyopiga/lia: kwa utulivu, kwa kurudiarudia pasipo kuudhika au kuwa na hasira. |
toka kwenye bomba la mfereji | Dokezo 2: dripping ni sehemu ya kitenzi kamili ‘is dripping’: kama maji [that is/ambayo] inadondoka – mshairi ameamua kutotumia ‘that is’. |
au kwa majivuno kama sauti ya mapigo ya maji ya bahari. Ngoma yangu. Ngoma yangu. Inaita upendo. Inatwanga hasira. | Dokezo 3: proudly vilevile ni kielezi ambacho kinaeleza jinsi ngoma inavyolia: kwa kujipenda, kama kwamba inajifurahia sana. |
Inahubiri uhuru. Haisimami kamwe Hata wakati hakuna mtu anayesikia ngoma yangu isipokuwa mimi. | Dokezo 4: never ni kielezi cha wakati ambacho kinaongezea taarifa kwenye kitenzi ‘stops’: ngoma haiwezi kusimama hata mara. |
Ngoma yangu inasalimia kila kitu kinachopita njia: jua | Dokezo 5: battering ni sehemu ya kitenzi kamili ‘is battering’: mvua [that is/ambayo] inagongagonga. |
linalochomoza mvua igongayo upepo unaovuma familia ya korongo makazi | Dokezo 6: monotonously ni kielezi cha namna ambacho kinaeleza jinsi kazi ya kuchimba inavyoendelea kwa namna inayochosha na ya kurudiarudia |
pote angani. Inamsalimia chenene Anayelia mlio mwembamba kwa sababu ya raha yake. | Dokezo 7: It’s ni kifupi cha It is na ‘is’ ni kitenzi, ingawa si kitenzi kinachoonesha tendo. |
Inawasalimia wafanyakazi ambao vifaa vyao vya kutobolea na kupasulia vinachimba mashimo | Dokezo 8: Nervously ni kielezi cha namna ambacho kinaeleza jinsi ngoma inavyolia: kama kwamba ngoma ina hamu au ina woga kidogo. |
kwa kuchosha. | Dokezo 9: ‘will come’ ni iko katika njeo ijayo lakini iko katika muundo wa swali, ‘will you come?’ |
Ninaifuatilia katika kicheko Ninaiongoza kuvuka maumivu yanayopwita. Ni shorewanda anayedonoa mbegu | You should ni muundo uliofupishwa wa You should come – vilevile ni tendo katika njeo ijayo. |
ni ufito kando ya ukingo | Dokezo 10: was ni njeo iliyopita ya ‘is’. |
ni risasi iendayo kasi. Ngoma yangu. Ngoma yangu. | Dokezo 11: Strong kwa kawaida ilitakiwa iandikwe ‘strongly’: hiki ni kielezi ambacho kinaeleza jinsi ngoma inavyolia. |
Inapiga kwa kiherehere makaribisho kwa ajili yako. | Dokezo 12: wasn’t stretched ini kitenzi kilicho katika njeo iliyopita. |
Je, utaisikia kwa furaha? Je, utakimbia kwa hofu? | Dokezo 13: never ni kielezi cha wakati (tazama Dokezo 4). |
Ngoma ni ngozi na mbao tu kwa hiyo utakuja? Ni lazima uje. Ni lazima uje. | Dokezo 14: could not live na should die ni vitenzi ambavyo vinarejelea katika wakati ujao kwa sababu vinaashiria kwamba mshairi hataweza kuishi hapo baadaye bila ngoma. |
Ngoma yangu kipenzi ilikuwa jana dhaifu sana. Leo inapiga. Kwa nguvu. Hakika haikutumika zaidi duniani kote kupiga bure. Ingawa kamwe | Dokezo 15: Wanafunzi wanaweza kukanganywa na maneno yanayoishia na ‘ing’. Wakati mwingine maneno haya ni sehemu ya kitenzi, mfano: ‘I am singing. Pengine maneno haya ni nomino, mfano: ‘The singing’ of the choir was excellent. Pengine, ni vivumishi ambavyo vinafafanua nomino, mfano: ‘The singing canaries’ flew to the top of their cage. Katika shairi hili dripping, battering, chirping, digging, pecking, beating ni sehemu za vitenzi. The pounding ni nomino. Throbbing ni kivumishi kinachofafanua pain. |
haipati jibu Ninafikiri sitaweza kuishi kama wimbo wa ngoma yangu utakufa. | Everything ni kiwakilishi ambacho kinasimama mahali pa nomino ambazo zinakifuatia katika ubeti wa 2. For nothing ni msemo ambao unamaanisha ‘without payment/bila malipo’ au ‘for no reason/bila sababu’. |
Nyenzo-rejea 4: Shairi la kusifu