Nyenzo-rejea 3: Maneno na maana – mifupa katika mwili
Nyenzo za mwalimu kwa ajili ya kupanga na kutumia na wanafunzi
Neno | Maana |
Muungabega/Hu merus | Aina ya mfupa iliyopo sehemu ya juu ya mkono |
Fuu la kichwa/Cranium | Fuvu, ambalo huhifadhi ubongo |
Fibula/goko | Mfupa mdogo kati ya mifupa miwili iliyopo sehemu ya chini ya mguu |
Radias/Radius | Mmoja kati ya mifupa ya kwenye kiwiko ambao huzunguka kadri unavyouzungusha mkono wako |
Fema/Femur | Mfupa mmoja uliopo juu ya mguu na ulio mrefu kuliko yote mwilini |
Pingilimgongo/Ve rtebrae | Mifupa ambayo huunda uti wa mgongo na inayoshikilia neva zipitazo sehemu hiyo |
Kifupakono/Meta carpals | Mifupa iliyopo kwenye mkono |
Kifupakidari/Ster num | Mfupa wa kwenye kidari, ambao unahifadhi moyo |
Skapula/Scapula | Mfupa ambao unajulikana kama bapa la bega sehemu ya nyuma |
Muundi goko/Tibia | Mifupa mikubwa miwili iliyopo sehemu ya chini ya mguu |
Tarisas/Tarsus | Mkusanyiko wa mifupa inayounda sehemu ya juu ya kiwiko na goti |
Nyenzo-rejea 2: Madokezo kwa ajili ya picha