Nyenzo-rejea ya 1: Marafiki wa kalamu
Taarifa ya usuli / maarifa ya somo kwa mwalimu Wewe!
Kama unapenda kuwa na mawasiliano na shule katika nchi yako au nchi nyingine ambayo pia hutumia vifaa vya TESSA , tafadhali wasiliana na Jane Devereux wa Open University, kwa kutumia j.b.devereux@open.ac.uk [Kidokezo: shikilia Ctrl na ubofye ili uifungue katika kichupo kipya (Ficha kidokezo)] au tumia anuani ifuatayo: The Open University, P O Box 77, Walton Hall, Milton Keynes MK7 6BT, UK.
Pia unaweza kuasisi uhusiano kati ya darasa lako na darasa la rika sawa kutoka shule nyingine na panga kila mmoja wa wanafunzi wako kuwa na rafiki wa kalamu. Hii itawapa wanafunzi wako faida ya kuwa na rafiki wa kumwandikia na kupokea majibu kutoka kwake, juu ya maswala yanayowapendeza, kutumia lugha ya ziada au lugha ya biashara/maasiliano. Watapata mazoezi katika kusoma na kuandika kwa lengo maalum, na kujifunza zaidi juu ya watu wengine, familia zao, shule, nchi na mtindo wa maisha.
Kabla hujawaingiza wanafunzi wanafunzi wako kwenye mpango/mradi, hakikisha umeshachanganua vizuri mambo kama ville mgawo na malipo ya bahasha na stampu. Unaweza ukaweka barua zote kwenye bahasha kubwa na kuituma kwa mwalimu.
Somo la 3