Muhtasari wa moduli za TESSA unaweza kupatikana katika maelezo ya mitaala ya kijumla:
Unakaribishwa katika ukurasa wa TESSA wa ki swahili cha Afrika yote.
Nyenzo za TESSA zimeundwa na kuendelezwa na wataalamu wanaofanya kazi nchi mbalimbali za Kiafrika.
Zimetolewa kwa kupitia leseni bunifu ya pamoja na zinaweza kutumika na kurekebishwa kwa mahitaji yako ipasavyo, kuendana na hali halisi kama inavyohitajika.