Teaching Lower Secondary Science A Handbook for Teacher Educators
Kitabu hiki kimetengenezwa kwa ajili ya wakufunzi wanaowafundisha walimu wapya ambao bado hawajaanza utumishi, au kwa kupanga programu za walimu waliokuwa tayari katika utumishi. Inatoa ushauri wenye vitendo jinsi ya kuwajulisha walimu katika nyenzo za sayansi ya Sekondari ya TESSA kwa kuwaunganisha kikamilifu katika masomo hayo mafupi.