School Experience Toolkit: Supporting School Experience Supervisors
Mwongozo wa kitendea kazi una mlolongo wa nyenzo kwa ajili ya matumizi ya wasimamizi ili kuendeleza ujuzi wa ufundishaji na ujuzi wa usimamizi ili kusaidia walimu wanafunzi katika mazoezi ya kufundisha. Mwongozo wa kitendea kazi utawasaidia pia wasimamizi kuwapa nguvu za kuunganisha nyenzo za TESSA katika mazoezi ya kufundisha.