Inclusive Education Toolkit: A Guide to the Education and Training of Teachers in Inclusive Education
Mwongozo wa kitendea kazi una mlolongo wa nyenzo kwa ajili ya matumizi ya wakufunzi kuendeleza mikakati ya kuwawezesha wanafunzi wote kufikia upeo wao bila ya kujali uwezo wao, udhaifu na mahitaji yao. Mwongozo wa kitendea kazi unawalenga wakufunzi na walimu kwenye nyenzo za TESSA ambazo zimepangwa kwa utaratibu maalum ili kuendeleza uzoefu wa pamoja katika darasa na shule.