Nyenzo-rejea ya 1: Haki na wajibu wa watoto- Orodha ya darasa ya mwalimu Nqwinda
Mifano ya kazi za wanafunzi
| Wajibu wetu ni: | Haki zetu ni: |
| Kusafisha nyumba | Malazi (nyumba ya kuishi) |
| Kuchanja kuni na kuchota maji | Chakula |
| Kuwalea wadogo zetu | Kulindwa (ili tusidhurike) |
| Kupika | Kulindwa na watu wazima |
| Kulima | Kutibiwa tukiwa wagonjwa |
| Kuwasikiliza na kuwatii | Kwenda shule |
Somo la 3



