Nyenzo-rejea ya 2: Shajara ya matumizi ya maji
Matumizi ya wanafunzi
Kila wakati unapotumia maji kwa kunywa au kupikia, n.k. weka alama ya tiki katika kisanduku kinachostahili.
| Kunywa | Kupikia | Kufulia | Kusafishia nyumba | Mengine | |
| Jumatatu | |||||
| Jumanne | |||||
| Jumatano | |||||
| Alhamisi | |||||
| Ijumaa |
Nyenzo-rejea ya 1: Matatizo ya upatikanaji wa maji



