Nyenzo-rejea 3: Chati za njeo za kitenzi
Nyenzo ya Mwalimu ya kutumia na wanafunzi kwa ajili ya kupanga/kurekebisha
| Njeo iliyopo | Njeo iliyopita | Njeo ijayo |
| Natembea | Nilitembea | Nitatembea |
| Nang’ata | Niling’ata | Nitang’ata |
| Nachagua | Nilichagua | Nitachagua |
| Nalima | Nililima | Nitalima |
| Nachora | Nilichora | Nitachora |
| Nakula | Nilikula | Nitakula |
| Nasahau | Nilisahau | Nitasahau |
| Nafahamu | Nilifahamu | Nitafahamu |
| Naona | Niliona | Nitaona |
| Nalala | Nililala | Nitalala |
| Naogelea | Niliogelea | Nitaogelea |
| Naandika | Niliandika | Nitaandika |
Nyenzo-rejea 2: Tangazo la mauzo



