Nyenzo Rejea 3: Makumi na mamoja
Nyenzo ya Mwalimu kwa ajili ya kupanga/kurekebisha na kutumia na wanafunzi
Waambie wanafunzi wako wajaze katika jedwali hili seti ya namba tatu zinazofuata.
Makumi | Mamoja |
---|---|
0 | 8 |
1 | 6 |
2 | 4 |
3 | 2 |
? | ? |
? | ? |
? | ? |
Nyenzo-rejea ya 2: Jedwali la kuzidisha