Nyenzo rejea 4: Mifano ya ulinganifu katika sanaa na vitambaa
Nyenzo ya Mwalimu kwa ajili ya kupanga/kurekebisha na kutumia na wanafunzi
Mifano ya ulinganifu katika sanaa ya Kiislam

Mifano ya mitindo linganifu ya vitambaa vya Kitanzania


Bendera za Kiafrika hapa chini, vilevile zina ulinganifu. Je, darasa lako linaweza kutafuta bendera nyingine zenye ulinganifu?



Nyenzo rejea 3: Mistari – linganifu na mzingo



