Nyenzo-rejea ya 3: Uhamishaji
Taarifa za msingi/ welewa wa somo wa mwalimu
Hii ni tafsiri ya kwenye mtandao
Unaweza kupata taarifa zenye manufaa kwenye tovuti hapa chini. http://www.bbc.co.uk/ schools/ ks3bitesize/ maths/ shape_and_space/ transformations_1_2.shtml [Tip: hold Ctrl and click a link to open it in a new tab. (Hide tip)]
Tovuti hii inatoa taarifa za msingi kuhusu uhamishaji sambamba na uakisi pamoja na shughuli shirikishi kwenye zaidi ya kurasa nne ambazo unaweza kuzifanyia kazi katika kutalii dhana na hoja zilizohusishwa.
Hii ni tafsiri ya matini
Kama tukihamisha umbo, tunaliondoa kwa juu au chini au kutoka upande mmoja mpaka upande mwingine, lakini hatubadilishi mwonekano wake kwa namna yoyote nyingine.
Tunapohamisha umbo, kila kimojawapo kati ya vipeo (kona) lazima vihamishwe kwa namna hiyo hiyo.
Yapi kati ya maumbo yafuatayo ni mihamisho ya pembetatu A?
Jibu: D na E ni mihamisho ya pembetatu A.
Chanzo Asilia: BBC Schools, Website
Nyenzo-rejea ya 2: Mifano ya maumbo yenye ulingano