Nyenzo rejea 4: Vizio vya kipimo
Nyenzo rejea ya mwalimu kwa ajili ya kupanga au kurekebisha ili kutumia na Wanafunzi
| Neno | Maana | Uzito | Urefu | Ujazo |
|---|---|---|---|---|
| kizio | Kipimo cha msingi | gramu (g) | mita (m) | lita (l) |
| kilo- | 1,000 mara kizio | kilogramu (kg) | kilometa (km) | - |
| senti- | 1/100 sehemu y a kizio | - | sentimita (sm) | sentilita (sl) |
| milli- | 1/1,000 sehemu ya kizio | milligramu (mg) | millimita (mm) | millilita (ml) |
Vizio vya muda
dakika 1 = sekunde 60
saa 1 = dakika 60
siku 1 = saa 24
wiki/Juma 1 = siku 7
mwaka 1 = miezi 12 = wiki 52 = siku 365
Ni vipi unafikiri hawa wafanayabiashara sokoni Dar es Salaam wanapima bidhaa zao?

Nyenzo-rejea ya 3: Kiasi cha moyo



