Nyenzo-rejea ya 5: Mfumo wa sayari – Habari na Takwimu
Nyenzo ya Mwalimu kwa kupanga au kubadili nyenzo ili zitumike na wanafunzi.
insert redrawing
Mzung uko wa mhimili | Muda katika mhimili | Kipenyo katika km | Km kutoka kwenye jua | Maili kutoka kwenye jua | Mvutano | Tungamo | Uzito | |
(katika mamilioni) | (katika mamilioni) | (Dunia=1) | (Dunia=1) | (Maji=1) | ||||
Zebaki | Siku 56 | Siku 88 | 4,878 | 57.9 | 36 | 0.38 | 0.555 | 5.4 |
Visoko vingi kwenye uso wa dunia huifanya Zebaki ionekane kama mwezi wetu. Kwa kuwa hakuna hali ya hewa ya kutunza jotoridi kwa uhakika, inaangukia kuanzia C 425 mchana C180 kabla ya jua kuzama. Hutengenezwa kwa mwamba bila maji. | ||||||||
Zuhura | Siku 243 | Siku 225 | 12,103 | 108.2 | 67.2 | 0.9 | 0.81 | 5.2 |
Mawingu meupe yanatuzuia kuona uso wake lakini huifanya kuwa sayari inayong’aa zaidi kwenye anga letu. Wakati mwingine huitwa nyota ya asubuhi au nyota ya jioni. Imetengenezwa kwa mwamba na ina joto sana ukiwa na angahewa ya kaboni dioksidi (CO2). |
Mzung uko wa mhimili | Muda katika mhimili | Kipeny o katika km | Km kutoka kwenye jua | Maili kutoka kwenye jua | Mvutano | Tungamo | Uzito | |
(katika mamilioni) | (katika mamilioni) | (Dunia=1) | (Dunia =1) | (Maji=1) | ||||
Dunia | 23 h 56 m | Siku 365.25 | 12,756 | 149.6 | 93 | 1 | 1 | 5.5 |
Theruthi mbili ya uso wa Dunia imefunikwa na maji, inayoipa rangi yake ya bluu. Ni sayari pekee inayojulikana kutegemeza maisha. Ina anga hewa yenye oksijeni. | ||||||||
Mirihi | 23 h 37 m | Siku 687 | 6,786 | 227.9 | 141.6 | 0.38 | 0.11 | 3.9 |
Ni sayari ya nne kutoka kwenye jua na mara nyingi huchukuliwa kama sayari nyekundu. Miamba, udongo na anga vina rangi nyekundu au waridi. | ||||||||
Sumbula | 9 h 50 m | Miaka 11.86 | 142,98 4 | 778 | 483.6 | 2.6 | 318 | 1.3 |
Anga hewa ina mwonekano wa kishoroba wenye doa jekundu. Ni mpira mkubwa wa gesi za haidrojeni naheliam. | ||||||||
Sarateni | 10 h 14 m | Miaka 29.45 | 120,536 | 1,426 | 886.7 | 0.9 | 95 | 0.7 |
Kundi la vipete linaonekana kuizunguka sarateni, ikisababishwa na mamilioni ya barafu yanayozunguka, vumbi, na vipande vya mwamba. Gesi nyingine hutengenezwa na haidrojeni na heliamu. | ||||||||
Zohari | 10 h 49 m | Miaka 84.01 | 51,118 | 2,871 | 1,783 | 0.8 | 15 | 1.3 |
Hutokea kijani ya kibuluu kwa sababu ya gesi ya methani ikiakisi mwanga wa jua. Ina mfumo mdogo wa vipete na ina mhimili wa kuzunguka kwenye pembe sawa kwenye sayari nyingine. Gesi nyingine kubwa. |
Kausi | 15 h 40 m | Miaka 165.79 | 49,528 | 4,497 | 2,794 | 1.1 | 17 | 1.6 |
Hutokea rangi ya buluu na ina mfumo mdogo wa vipete. Wakati mwingine inaitwa pacha wa Kausi. Gesi kubwa ya mwisho. | ||||||||
Utaridi | 16 h | Miaka 248.43 | 2,284 | 5,913 | 3,666 | 0.04 | 0.002 | 2 |
Utaridi una miamba na barafu. Ina miezi mitatu – Charon, Nix and Hydra. Tarehe 24 Agosti mwaka 2006, Umoja wa Kimataifa wa Kifalaki (the International Astronomical) umetoa maana ya neno ‘sayari’ kwa mara ya kwanza. Tafsiri hii haikuijumuisha Utaridi, hivyo Utaridi iliongezwa kwenye orodha ya sayari ndogo. |
Chanzo halisi: Sayansi ya Msingi, Kujenga Elimu ya Somo, Jane Devereux
Nyenzo-rejea 4: Mwezi na uhusiano wake na Dunia na jua – usuli kwa ajili ya mwalimu