Nyenzo-rejea 6: Kipimo cha mfano cha mfumo wa sayari
Nyenzo ya Mwalimu kwa kupanga au kubadili nyenzo ili zitumike na wanafunzi.
SAYARI | IKIWAKILISHWA NA | UMBALI KUTOKA KWENYE ‘JUA’ | KWA MODELI YAKO* |
ZEBAKI | mm1 mbegu ya mpopi | mita 12 | sentimita 12 |
ZUHURA | mm 3 za zuzu | mita 23 | sentimita 23 |
DUNIA | mm 3 za zuzu | mita 30 | sentimita 30 |
MIRIHI | mm 1.5 ya mbegu ya mharadali | mita 50 | sentimita 50 |
SUMBULA | mm 30 za mpira | mita 167 | mita 1.67 |
SARATENI | mm 30 za mpira | mita 300 | mita 3 |
ZOHARI | mm 10 za marumaru | mita 600 | mita 6 |
KAUSI | mm 10 za marumaru | mita 900 | mita 9 |
UTARIDI | 1 mbegu ya mpopi | kilomita 1.25 | mita 12.5 |
N.B: Kwenye kipimo hiki, mwezi wetu utakuwa mdogo kuliko mbegu ya ua aina ya mpopi na unaweza kuwa sentimeta 8 kutoka kwenye dunia.
Ukubwa wote na umbali ni vya kukadiriwa.
Kwa sababu za kiutendaji, unaweza kutumia vipimo hivi vya umbali vilivyofupishwa kwa ajili ya kifani cha wanafunzi wako, lakini utahitaji kutambua kwamba sayari halisi zina ukubwa tofauti sana na huu.
Nyenzo-rejea ya 5: Mfumo wa sayari – Habari na Takwimu