Nyenzo-rejea ya 1: Kazi ya nyumbani ya kuorodhesha kazi za ughushi za mahali hapo
Nyenzo ya Mwalimu kwa kupanga au kubadili nyenzo ili zitumike na wanafunzi.
Jabali 6B, 02.10.2005, Majina ya Ughushi
| Ngoma | √ |
| Gitaa | Hili ni gitaa ulilotengeneza? |
| Kijiko cha mti | √ |
| Chupa | Fikiria tene. Hii chupa kweli ilitengenezwa katika jamii yako? |
| Chungu cha udongo | √ Vizuri sana |
| Mchoro wa tingatinga | Hii ni nini? |
| Gari la kuchezea watoto | Moja ya hiki kifaa kinatengenezwa kijijini kwako? |
| mkeka uliosukwa kwa mikono | √ |
| Umfanya vizuri Jabali. Hapa umekusanya orodha nzuri ya ughushi. Hakikisha unaelewa ni zipi zinatengenezwa katika jamii yako. |
Somo la 3



