Nyenzo rejea 2: Tathimini ya mawasilisho ya utafiti
Nyenzo ya Mwalimu kwa kupanga au kubadili nyenzo ili zitumike na wanafunzi.
Jina la mwanafunzi:
Tarehe:
Darasa:
Kipindi cha maonyesho mwanafunzil: | Alifani Kiwa vena | AlifaniKiwa | Anahitaji msaada |
---|---|---|---|
Alionyesha kifaa halisi cha ustadi, mchoro, au mfano wa picha. | |||
Alikipa hicho kifaa jina. | |||
Alijibu swali la utafiti. |
Maoni ya mrejesho:
Mwalimu:
Nyenzo-rejea ya 1: Maswali ya utafiti juu ya vifaa vya jadi na kazi zake