2.3 Uchunguzi wa mwili wakati wa leba
Ukichunguza mwili wa mwanamke aliye katika leba, zingatia zaidi fumbatio, uke na seviksi. Kumbuka kufanya yafuatayo:
- Dumisha siri
- Zingatia kanuni za huduma inayozingatia maslahi ya mwanamke (Kisanduku 2.1)
- Mchunguze kutoka kichwa hadi miguuni
- Tambua iwapo ana dalili za anemia (kuparara dani ya vikawa vya macho, kucha za vidole na ufizi.
- Tambua iwapo ana rangi ya manjano machoni (umanjano). Rangi hii huashiria ugonjwa wa ini.
Back to previous pagePrevious
2.2.4 Dalili na ishara hatari