3.3.1 Ishara za awamu ya pili ya leba
- Mikazo inakuwa thaniti zaidi na inayosukuma nje.
- Kinyeo hupanuka na kuacha kipenyo. (Sfinikta ya kinyeo hufunguka wakati wa mkazo.)
- Sehemu ya fetasi inayotangulia hutokea chini ya vulva.
- Seviksi hupanuka kabisa hadi sentimita 10.
Back to previous pagePrevious
3.3 Jitayarishe kuzalisha