7.2.1 Vifaa vya kimsingi vinavyohitajika kwa uhaishaji wa mtoto mchanga
- Vitambaa viwili safi vya kitani au pamba: kimoja cha kumpanguzia mtoto huyo mchanga na kingine cha kumfunikia mtoto baadaye.
- Sirinji ya plastiki aina ya balbu ya kuondolea viowevu kwenye kinywa na pua, hasa akiwa na mekoniamu.
- Mfuko wa ambu na barakoa vya kumpa mtoto oksijeni moja kwa moja kwenye mapafu.
- Mtu kama wewe aliyehitimu katika uwanja wa uhaishaji.
- Ikiwezekana, kifaa cha kutoa joto, kwa mfano taa.
Back to previous pagePrevious
7.2 Aina za uhaishaji wa mtoto mchanga