8.4.3 Matatizo ya mlalo wa kutanguliza uso
Matatizo kwa fetasi ni haya:
- Leba iliyozuiliwa na uterasi iliyopasuka
- Prolapsi ya kiungamwana
- Majeraha ya uso
- Kuvuja damu ubongoni (kutokwa na damu kwenye fuvu la kichwa)
Back to previous pagePrevious
8.4.2 Utambuzi wa mlalo wa kutanguliza uso