8.5.1 Vinavyoweza kusababisha mlalo wa kutanguliza paji la uso
Umeona mambo haya yote kama visababishi vya milalo mingine mibaya:
- Uterasi dhaifu kutokana na ujauzito komavu wa mara kwa mara
- Mimba ya zaidi ya mtoto mmoja
- Polihadromino
- Umbo lisilo la kawaida la pelvisi ya mama.
Back to previous pagePrevious
8.5 Mlalo wa kutanguliza paji la uso