8.5.3 Matatizo ya mlalo wa kutanguliza paji la uso
Matatizo ya mlalo wa kutanguliza paji la uso ni sawa na yale ya milalo mingine mibaya:
- Leba iliyozuiliwa na uterasi iliyopasuka
- Prolapsi ya kiungamwana
- Kujeruhiwa kwa uso
- Kuvuja damu ubongoni
Je, ni upi unoweza kukumbana nao: mlalo wa kutanguliza uso au paji la uso?
Mlalo wa kutanguliza uso hutokea sana. Huu hutokea katika mimba ya 1 kwa kila leba 500 zilizokomaa. Mlalo wa kutanguliza paji la uso hautokei sana, kwani hutokea katika ujauzito 1 kwa kila leba 1000 zilizokomaa.
Mwisho wa jibu
8.5.2 Utambuzi wa mlalo wa kutanguliza paji la uso