11.4 Punguza hatari ya kuvuja damu baada ya kuzaa
Katika kitengo hiki, tutazingatia hatua za kuchukua katika kila hatua ili kupunguza hatari ya kuvuja damu baada ya kuzaa. Anza kumhudumia mwanamke mjamzito kabla ya leba kuanza.
Back to previous pagePrevious
11.3 Kuvuja damu baada ya kuzaa kunakohusiana na jeraha