12.5 Hisia na mihemko inayobadilika
Ujauzito ni wakati muhimu katika maisha ya mwanamke. Mtoto anaendelea kukua ndani yake, mwili wake unabadilika, na anahitaji chakula na kupumzika zaidi. Mwili wa mwanamke unapobadilika, uhusiano, ujinsia na maisha yake ya kikazi yanaweza kubadilika pia.
Back to previous pagePrevious
12.4.7 Kloasma (barakoa ya ujauzito)