12.5.5 Kusahau
Wanawake wengine wana uwezekano zaidi wa kusahau mengi wakiwa wajawazito. Kwa wanawake wengi, hili si tatizo kubwa. Lakini wengine wanaweza kuwa na wasiwasi ikiwa hawajui kuwa ni kawaida. Hakuna anayejua ni kwa nini wanawake husahau mengi wanapokuwa wajawazito, lakini hutendeka sana.
Back to previous pagePrevious
12.5.4 Ndoto za ajabu na majinamizi