17.6 Hatua za kuchukuwa ikiwa KTW itatokea
Ukimwona mwanamke unayedhania au aliye katika hali ya KTW, unapaswa kujibu maswali haya:
- Je mwanamke anayo leba iliyodhibitishwa au la?
- Ikiwa mwanamke anayo leba iliyodhibitishwa:
- Je, ni KTW unaotokea kabla ya muda au katika muda halisi?
- Je, amekuwa nyumbani kwa muda upi baada ya kupasuka kwa tando?
- Je, leba imeendelea kwa kiwango kipi.
- Je, fetasi iko hai au imekufa?
- Bila kuzingatia hali yake ya leba, je, mwanamke anayo maambukizi yaliyodhibitishwa au la?
Back to previous pagePrevious
17.5.6 Ulemavu wa viungo vya fetasi