17.6.1 Je, ni wakati gani ambapo unatakiwa kuendesha uzalishaji kabla ya rufaa?

Unapaswa kujibu maswali yaliyo hapo juu kwa sababu yanaonyesha ni hatua gani unazopaswa kuchukua, kama tutakavyoeleza sasa hivi.

  • Je, unaweza kueleza kwa nini la?

  • Inaongeza kwa wingi hatari za maambukizi kuingia katika uterasi.

    Mwisho wa jibu

Unapaswa kumsaidia kupitia leba kabla ya rufaa ikiwa:

Usifanye uchunguzi katika uke ya mwanamke aliye katika hali ya KTW, hata ikiwa umevaa glavu!

  • Tayari leba iliyodhibitishwa (ndio kwa Swali 1)
  • Alikueleza historia ya KTW unaotokea muda halisi wa ujauzito, baada ya wiki 37 zilizokamilika za kipindi cha ujauzito na kutokwa na kiowevu uliotokea kabla ya kuanza kwa leba (Swali 2)
  • Na huoni thibitisho lolote la maambukizi (la kwa Swali 4).

Ikiwa leba na uzalishaji ulitekelezwa kawaida na mama na mtoto wanaendelea vyema, wachunguze kwa muda wa masaa 24 yanayofuata. Eleza familia wakuite na umpeleke kwenye kituo cha afya mara moja ikiwa kunayo dalili yoyote ya maambukizi kwa mama au mtoto mchanga.

Ikiwa mwanamke atakuja kwako akiwa na hali ya KTW na yuko katika leba ambayo tayari imedhibitishwa imeendelea sana (awamu ya kwanza iliyo kamilifu, au awamu ya pili wakati mwanamke anajisikia kusukuma), hata kukiwa na thibitisho la maambukizi, au leba iliyotokea kabla ya muda, au unadhani fetasi inaweza kuwa imekufa, bado ni heri kuendeleza uzalishaji pale mwanamke alipo na umpatie rufaa kwa kituo cha afya mara tu mtoto anapozaliwa.

17.6 Hatua za kuchukuwa ikiwa KTW itatokea

17.6.2 Je, ni wakati gani unapaswa kumpatia rufaa kabla ya kutekeleza uzalishaji?