17.6.2 Je, ni wakati gani unapaswa kumpatia rufaa kabla ya kutekeleza uzalishaji?

Mpe mwanamke aliye katika hali ya KTW rufaa mara iwezekanavyo kwenye hospitali iliyo na kifaa cha kufanyia upasuaji ikiwa hayuko katika leba, au bado yuko katika awamu ya kwanza ya leba ya mapema na kunao muda wa kumpeleka katika kituo cha afya kabla ya leba kuendelea sana. Kumbuka kuwa ikiwa hali yake ni ya KTW uliotokea kabla ya muda, mtoto mchanga atahitaji utunzaji wa kipekee katika hospitali.

17.6.1 Je, ni wakati gani ambapo unatakiwa kuendesha uzalishaji kabla ya rufaa?

Muhtasari wa Kipindi cha 17